RAIS MAGUFULI ASIKITISHWA NA TUKIO LA KUPIGWA RISASI MH. TUNDU LISSU...

KUTAZAMA MAAJABU YA LEO BONYEZA HAPA CHINI===>
Rais John Magufuli, amesema amepokea kwa masikitiko tukio la kupigwa risasi Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu.

Katika akaunti yake ya Twitter, Rais Magufuli amesema anamuombea Lissu kwa Mwenyezi Mungu aweze kupona haraka.

“Aidha, vyombo vya dola viwasake wale wote waliohusika na tukio hili la kinyama na kuwafikisha ktk mikono ya sheria,” amesema.


Lissu alijeruhiwa jana Alhamis kwenye gari kabla ya kushuka nyumbani kwake Area D akitokea kwenye kikao cha bunge mjini Dodoma na sasa anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma.
TAZAMA PICHA na VIDEO YA WEMA NA DIMPOZ WAKIWA WATUPU BONYEZA HAPA CHIN==>>> During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
[1.00 MB]NOMA SANA, KuDOWNLOAD VIDEO YaO WAKIBANDUANA BONYEZA HAPA CHINI==>>
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: