MFANYABIASHARA YUSUFU MANJI AACHIWA HURU…

KUTAZAMA MAAJABU YA LEO BONYEZA HAPA CHINI===>

14 september 2017.
Mahakama imemuachia huru mfanyabiashara Yusuf Manji katika kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mwendesha Mashtaka wa Serikali (DPP) kuwasilisha hati mahakamani hapo ikionyesha kuwa hana nia ya kuendelea na kesi dhidi yake.

Manji na watuhumiwa wenzake watatu walikuwa wakikabiliwa na mashtaka saba yakiwemo ya uhujumu uchumi, kukutwa na mihuri miwili ya Jeshi la wananchi Tanzania(JWTZ), ukiwemo wa Mkuu wa Kikosi cha 21 JWTZ, wa Mkuu wa Kikosi Makutupora Dodoma (JWTZ) na wa ‘Commanding Officer’ Korogwe na ‘plate number’ mbili za magari ya serikali.

Watuhumiwa wengine walioachiwa huru kwenye kesi hiyo ni Deogratius Kasinda na Thobias Pwere na mwingine ambaye jina lake halikufahamika mara moja.
Mungu mjaalie afya njema aendelee na biashara zake kama zamani asikate tamaa…

Una Maoni weka hapa…
TAZAMA PICHA na VIDEO YA WEMA NA DIMPOZ WAKIWA WATUPU BONYEZA HAPA CHIN==>>> During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
[1.00 MB]NOMA SANA, KuDOWNLOAD VIDEO YaO WAKIBANDUANA BONYEZA HAPA CHINI==>>
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: